Thursday, March 7, 2013

BAADHI YA MATUKIO YANAYOENDELEA KATIKA KITUO CHA SIFA GROUP FOUNDATION

English
Some of the volunteers of Sifa Group foundation posing for a picture with the childrens. They do help the childrens materialy like beds etc. as well as with skills like teaching language, health studies etc.
 Swahili
Baadhi ya watu wanaojitolea kwa ajili ya Sifa Group Foundation wakiketi kwa ajili ya picha pamoja na watoto. Huwa wanawasaidia kwa vitu kama vitanda nk. pia katika ujuzi ikiwamo kuwafundisha lugha, masomo ya afya nk.


 
English
Some of the Sifa Group Faundation childrens in a photo. By total they are hundred and sixteen (116) in number. The foundation provides them with education, food, clothing, shelter as well as health services.
Swahili
Baadhi ya watoto wa Sifa Group Foundation katika picha ya pamoja. Kwa ujumla wapo watoto mia moja na kumi na sita (116). Sifa Group Foundation inawahudumia kwa elimu, chakula, mavazi, malazi na pia huduma za afya.
 English
Chidrens  waiting for gifts after studies
Swahili
Watoto wakisubiri zawadi baada ya masomo


 English
Clothing gift from TCRS institute for the Sifa Group Foundation.
Swahili
Zawadi za  nguo kutoka taasisi ya TCRS kwa Sifa Group Foundation.

English
Children receiving cloth gifts from Sifa Group Foundation director Sifa John.
Swahili
 Watoto wakipokea zawadi za nguo kutoka kwa mkurugenzi wa Sifa Group Foundation Sifa John.
English
Childrens full of joy holding their given gifts.
Swahili
Watoto wakiwa na furaha huku wamebeba zawadi walizopewa.
English
Not only childrens, Sifa Group Foundation also deals with widows. As you can see the photo above some of the widows also received some cloth gifts.
Swahili
Siyo watoto tu, Sifa Group Foundation pia inajishughulisha na wajane. Kama ilivyo katika picha juu, baadhi ya wajane pia walipokea zawadi za nguo.

English
Some of volunteers posing for a picture with the director the day they presented beds and matresses for the foundation childrens.
Swahili
Baadhi ya watu wanaojitolea wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa kituo siku walipokabidhi vitanda na magodoro kwa ajili ya watoto wa kituo.


Sunday, February 17, 2013

PICHA ZA KITUO


HAWA NI WA DARASA LA ASUBUHI, HAPO TUMEMALIZA KIPINDI. HUWA TUNAFUNDISHA ASUBUHI NA JIONI SABABU WATOTO WENGI HAWAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA

WATOTO WETU NDIVYO WALIVYOFURAHIA SIKU WALIPOLETEWA VITANDA NA HAWA VOLUTEERS WETU.

HILI NDILO DARASA LA USHONAJI KAMA UNAVYOLIONA.

matron nae hakuficha furaha yakeee

darasa linaendelea kama unavyoona.

hapa ni ofisini kwangu.ofisi na darasa viko pamojatofauti ni milango karibu ututembeleee.

MWALIMU WA USHONAJI  AKIFUNDISHA VIJANA WA S.G.F. KWA KUNDIKA PIA

hawa ni wale wenye vipaji maalum, wanapomaliza mafunzo wanaingia mazoezini kama unavyoona.

mabivti wa sifa group wakiwa mafunzoni. na mwalimu wao.

moja ya ofisi za s.g.f.niko na vijana wa s.g.f. wenye vipaji vya kuigiza.

hivyo ndivyo ninavyopambana katika kuhakikisha watoto yatima na wa mazingira magumu wanapata elimu.

mkurugenzi na muasisi wa sifa group foundation

watoto wakionyesha furaha yao kwa kupanda juu ya vitanda vyao

HIVI NDIVYO TULIVYOANZA DARASA AMBALO KWA SASA TUNA WATOTO 75 YATIMA NA MAZINGIRA MAGUMU.

waeianza kushona nguo hizo baada ya kujua kushona, lakini sasa ni wataalam